Matukio

  • Chipukizi Cup – 2024

    Chipukiz Cup, ni mashindano makubwa ya michezo yanayokutanisha vijana wenye vipaji kutoka ukanda wa nchi za Afrika Mashariki. Mashindano ya Chipukizi yamekua yakifanyika karibu kila mwaka, Mashindano hayo yamekua yakitoa nafasi kwa vijana wenye vipaji vya mpira wa miguu kuonesha uwezo wao. Mwaka huu (2024) mashindano yalifanyika nchini Tanzania, jijini Arusha, mnamo Desemba 9 hadi…

  • Xavier Fc

    Ni vijana waliojitolea kukuza vipaji vyao na kuikuza Timu